Timu
nzima ya ikiwa katika eneo la kazi Mikocheni ndani ya campus ya SJMC tayari kwa
kupiga picha za episode no 1
|
Joyce
na Emiliana wakifuatilia mchakato mzima wa upigaji picha za My Campus
|
Mpiga
picha wa ukweli kutoka Mlimani TV Imma Kiwelu akiweka mambo sawa ili kazi iwe
poa poa
|
Location bwana sometimes unasubiri majukumu yako yafike, unapata muda wa kupumzika na kuchati na washkaji. |
Neema,
Silas, Mwakoba na Emiliana wakiwa katika scene yenye mvuto wa pekee kama
wafanyakazi wa kazi za usafi katika Campus ya SJMC, uhondo wa Soap Opera hii
utapatikana Mlimani TV.
|
Ha
ha ha ha ha mda mwingine ubunifu ni muhimu ili kupata uhalisia wa picha husika.
|
Hapa
tutapata shot nzuri kamera itaweza kuchukua matukio kwa uzuri!
|
Hamadi
aka Samson, Deus kama PM msaidizi, Catherine Allan PM msaidizi pia na Hawa as
assistant Director wakifuatilia kwa makini upigaji wa picha za episode 1
|
Kazi
inaendelea na majadiliano yamepamba moto miongoni mwa wahusika.
|
I
real like this shot! Inajenga hali
Fulani katika nafsi….
|
Kazi inaendelea |
Director msaidizi Miss Hawa akifuatilia mchakato mzima kwa umakini. |
Mr
Director Issa Athumani akikagua Kamera kuhakikisha kila kitu kinaenda sawia.
|
Kujadili
maendeleo ya kazi ni mojawapo ya sehemu ya kazi ili kupata mawazo mbalimbali
|
Ochieng Gad Ogweno mpiga picha wa Mlimani ni TV akiendelea kuchukua picha |
Taa
hutumika hata mchana kuua vivuli visivyotakiwa katika upigaji wa picha nzuri
zenye mvuto kwa mtazamaji.
|
Kazi
na dawa Mr director Issa Athumani twatarajia vitu vizuri.
|
Atukuzwe na Glory mojawapo ya wahusika wakuu katika mojawapo ya scene zitakazoonekana katika episode ya kwanza |
Moreen
Swai aka Zawadi mhusika mkuu wa My
Campus , Edger Mahirane Production Manager na Shumu Mwaita wakitokelezea baada
ya kazi nzito.
|
Upigaji
picha ukiendelea ili kuhakikisha episode ya kwanza inakamilika
|
Hii
ni mojawapo ya shot nzuri sana itakayonekana ndani ya My Campus,
keep in Touch!
|
Brothermen Abdul Ibrahim aka Abdullah akifanya vitu vyake.. |
Kazi ikiendelea kufanywa kwa ufanisi mkubwa na ushirikiano wa dhati
baina ya Production Timu na wahusika.
|
My Campus! My Campus! Twakusubiri kwa hamu |
Glory
Swai akiwa makini na scene yake the girl is doing great.. Mambo mazuri zaidi yanatarajiwa kupitia Tamthiliya ya My Campus
|
No comments:
Post a Comment