Thursday, August 9, 2012

Kimbweta Chetu wiki ijayo: Mchakato wa Uandikishaji Vitambulisho vya Utaifa

Kimbweta Chetu ni kipindi  kinazungumzia mada mbalimbali zihusuzo maisha kwa ujumla katika mazingira vyuo vikuu.Ni kila siku ya jumatatu saa nane kamili mchana Mlimani TV.
Mpiga picha Jackson Nyasebwa na mtu wa sauti Donati Damian wakifanya maandalizi ili kipindi kianze
Peter Magoda akiwa sambamba na wazungumzaji katika uandaji wa Kimbweta Chetu. 
Maandalizi yakiendelea 
Frank Mavura muongozaji wa kipindi na Mpiga picha Jackson Nyasebwa katika mojawapo ya picha zenye mvuto kuonesha uwezo wa wapiga picha wa Mlimani Tv usikose kipindi cha Kimbweta chetu kila siku ya jumatatu saa nane kamili mchana.
Standby on set, roll tape, roll sound, action…..ndio wanachosubiri wanaaoonekana pichani, akiwemo mtangazaji Peter Magoda na wanafunzi wengine toka vyuo mbalimbali.
Edger Mahirane producer wa kipindi cha kimbweta chetu na tamthiliya ya My Campus akiwa na Abdul  Ibrahim star wa Tamthiliya ya My Campus 

1 comment: