Thursday, August 9, 2012

Maandalizi ya kipindi cha "AFYA" Mlimani tv

Katika kipindi cha AFYA YAKO wiki ijayo mada ni juu ya ugonjwa wa kisukari..fahamu sababu na athari zake..Usikose Mlimani TV
Elizabeth Mramba akiendelea na mahojiano na Dr Ally Mzige kutoka IMTU usikose kutazama Mlimani tv kipindi cha afya
Mpiga picha wa Mlimani tv Baba lao Max akiendelea kufanya kipindi cha afya kwa umakini mkubwa
Mahojiano yakiendelea juu ya ugonjwa wa kisukari kati ya mtangazaji Elizabeth Mramba na Dr Ally Mzige 
Dr Ally Mzige, mkurugenzi hospitali ya IMTU- Mbezi Dar es salaam akizungumza katika kipindi cha afya kinachoruka mlimani Tv.
Elizabeth Mramba akiwa makini kufanya mahojiano pembeni  ni mpiga picha wa mlimani Tv Mzee Max

Picha na Ndaga Mwaipopo

No comments:

Post a Comment