Sunday, August 26, 2012

Editting process

Baada ya kupata picha nzuri za location kazi ya umaliziaji na kuiweka sawa inasimamiwa na Frank Mavura ambaye ni chief Editor wa my campus
Busy na kazi
Kazi inaendelea
Akipewa maelezo kidogo na assistant wake Edger Mahirane
Kaa mkao wa kula..kazi inaendelea


Furaha na Vituko ni sehemu ya kazi

Dadaz wakiwa wamepozi baada ya kazi kuandaa mchezo wa My Campus

Gwaza akimuonesha Dullah namna ya kucheza Kung Fu

Vicheko vinaendelea


Vitisho vikakolea

Furaha ikamalizia..kila mtu kivyakevyake

Wednesday, August 15, 2012

Camera work






Utanashati lazima

Ili kuhakikisha picha zinakua nzuri basi ni muhimu kwa waigizaji kung'arishwa na kupendeza kabla ya kwenda mbele ya kamera..Tiririka ujione washiriki wetu waking'arishwa kazi ya make up inafanywa na Zainab Kihiyo
Mwanadada Vicky apigwa mapoda
Cheki Hamadi a.k.a Samson alivyofunga macho..sio alikua ana feel vipi??
Angalia pozi
Add caption
Abdul katulia tuli anang'arishwa
Kaka hata wewe pia??

Hata huyu nae alikuwepo

Tukiwa location pia tunaweza ku-enjoy kwa kuona wanyama kama hawa

Sometimes kuchoka kupo sana!!


Tuesday, August 14, 2012

Hebu tusaidiane katika hili...

Cameraperson wetu Ndaga...hapa sijui ndo alikua katika harakati za kupata picha au ndo alikua kwenye lindi la mawazo kwa sababu huo mkao wake??..

Kazi inaendelea...

Kujituma kwa bidii,ucheshi na umoja ndio nguzo kubwa itakayofanikisha mchzo wetu kukamilika. Hizi ni baadhi ya picha za washiriki wetu wakiwa kazini.





Thursday, August 9, 2012

Kimbweta Chetu wiki ijayo: Mchakato wa Uandikishaji Vitambulisho vya Utaifa

Kimbweta Chetu ni kipindi  kinazungumzia mada mbalimbali zihusuzo maisha kwa ujumla katika mazingira vyuo vikuu.Ni kila siku ya jumatatu saa nane kamili mchana Mlimani TV.
Mpiga picha Jackson Nyasebwa na mtu wa sauti Donati Damian wakifanya maandalizi ili kipindi kianze
Peter Magoda akiwa sambamba na wazungumzaji katika uandaji wa Kimbweta Chetu. 
Maandalizi yakiendelea 
Frank Mavura muongozaji wa kipindi na Mpiga picha Jackson Nyasebwa katika mojawapo ya picha zenye mvuto kuonesha uwezo wa wapiga picha wa Mlimani Tv usikose kipindi cha Kimbweta chetu kila siku ya jumatatu saa nane kamili mchana.
Standby on set, roll tape, roll sound, action…..ndio wanachosubiri wanaaoonekana pichani, akiwemo mtangazaji Peter Magoda na wanafunzi wengine toka vyuo mbalimbali.
Edger Mahirane producer wa kipindi cha kimbweta chetu na tamthiliya ya My Campus akiwa na Abdul  Ibrahim star wa Tamthiliya ya My Campus 

Maandalizi ya kipindi cha "AFYA" Mlimani tv

Katika kipindi cha AFYA YAKO wiki ijayo mada ni juu ya ugonjwa wa kisukari..fahamu sababu na athari zake..Usikose Mlimani TV
Elizabeth Mramba akiendelea na mahojiano na Dr Ally Mzige kutoka IMTU usikose kutazama Mlimani tv kipindi cha afya
Mpiga picha wa Mlimani tv Baba lao Max akiendelea kufanya kipindi cha afya kwa umakini mkubwa
Mahojiano yakiendelea juu ya ugonjwa wa kisukari kati ya mtangazaji Elizabeth Mramba na Dr Ally Mzige 
Dr Ally Mzige, mkurugenzi hospitali ya IMTU- Mbezi Dar es salaam akizungumza katika kipindi cha afya kinachoruka mlimani Tv.
Elizabeth Mramba akiwa makini kufanya mahojiano pembeni  ni mpiga picha wa mlimani Tv Mzee Max

Picha na Ndaga Mwaipopo