Sunday, November 25, 2012

Kazi ya uandaaji wa My Campus yanza rasmi # Kaa tayari


  1. Shumu Mwaita akifanyiwa make up kabla ya kuanza rasmi kushoot hook ya tamthiliya mpya itakayoruka kupitia Mlimani TV


  1. Hamadi Kimaya akiendelea na utaratibu wa make up ili kuanza kazi rasmi


Hapa vijana wakijadili jambo kuhusu  tamthiliya ya My Campus itakayokuwa ikiruka kupitia Mlimani TV


Muongozaji wa vipindi vya Televisheni na Filamu nchini Tanzania,Bw. Issa Athumani akitoa maelekezo kwa mpiga picha, Bw Emmanuel Kiwelu

Kazi ikiwa motomoto hapo inatafutwa angle sahihi yenye uzuri mathubuti


Vijana wa My Campus wakijipumzisha kidogo


Assistant Production Manager  Catherine Allan, akiwa mwigizaji Sabina Shementse na dada yetu machachari Joyce Lyimo wakijipumzisha kidogo ili kuendelea na kazi


Hapa kazi ikiendelea DOP, Ochieng Gad Ogweno, Camera operator Emmanuel Kiwelu na Director machachari anaechipukia  Frank Mavura

Still picture muhimu...ila daaah hii kamera ni hatari hadi vinyweleo vya mkono wa DOP Ochieng Gad Ogweno


Hata mchana taa ni muhimu sana wakati wa ufanyaji wa kazi za televisheni na filamu kwani hutupatia picha nzuri.


Muigizaji chipukizi na machachari Josephine Christopher akifanyiwa make up ili kuanza scene yake
KAZI NA DAWA..someni magaeti lakini sometimes udaku wa kibongo noma haufai...

Wadau wakifuatilia mchakato mzima wa utayalishaji wa tamthiliya ya My Campus itakayokujia hivi karibuni kupitia Mlimani TV


Tabasamu baada ya kushoot ni muhimu sio kazi rahisi  kuwa on set

Mwakoba Kizaro atakyeenda kwa jina la Steven akiwa katika scene yake


Kazi ikiendelea kwa umoja na ushirikiano mkubwa

No comments:

Post a Comment