| Busy na kazi |
| Kazi inaendelea |
| Akipewa maelezo kidogo na assistant wake Edger Mahirane |
| Kaa mkao wa kula..kazi inaendelea |
| Mwanadada Vicky apigwa mapoda |
| Cheki Hamadi a.k.a Samson alivyofunga macho..sio alikua ana feel vipi?? |
| Angalia pozi |
| Add caption |
| Abdul katulia tuli anang'arishwa |
| Kaka hata wewe pia?? |
| Mpiga picha Jackson Nyasebwa na mtu wa sauti Donati Damian wakifanya maandalizi ili kipindi kianze |
| Peter Magoda akiwa sambamba na wazungumzaji katika uandaji wa Kimbweta Chetu. |
| Maandalizi yakiendelea |
| Standby on set, roll tape, roll sound, action…..ndio wanachosubiri wanaaoonekana pichani, akiwemo mtangazaji Peter Magoda na wanafunzi wengine toka vyuo mbalimbali. |
| Edger Mahirane producer wa kipindi cha kimbweta chetu na tamthiliya ya My Campus akiwa na Abdul Ibrahim star wa Tamthiliya ya My Campus |
| Mpiga picha wa Mlimani tv Baba lao Max akiendelea kufanya kipindi cha afya kwa umakini mkubwa |
| Mahojiano yakiendelea juu ya ugonjwa wa kisukari kati ya mtangazaji Elizabeth Mramba na Dr Ally Mzige |
Dr Ally Mzige, mkurugenzi hospitali ya
IMTU- Mbezi Dar es salaam akizungumza katika kipindi cha afya kinachoruka
mlimani Tv.
|
| Elizabeth Mramba akiwa makini kufanya mahojiano pembeni ni mpiga picha wa mlimani Tv Mzee Max |