Sunday, December 16, 2012

Get your Personal 2013 Calendar at cheapest price

05 ni kalenda za mwaka 2013 yenye picha ya Mary the Super Model, ukileta picha yako nawe pia utaonekana katika kalenda hiyo..Zinapatikana kwa gharama nafuu ya sh 4000 tu.. tuwasiliane kwa namba 0715771212 au 0715431721

Tuesday, December 4, 2012

Upigaji picha wa Episode 1,ni Dira Ya Ubora wa Filamu za Nyumbani#My Campus

 Timu nzima ya ikiwa katika eneo la kazi Mikocheni ndani ya campus ya SJMC tayari kwa kupiga picha za episode no 1

 Joyce na Emiliana wakifuatilia mchakato mzima wa upigaji picha za  My Campus

Mpiga picha wa ukweli kutoka Mlimani TV Imma Kiwelu akiweka mambo sawa ili kazi iwe poa poa

Location bwana sometimes unasubiri majukumu yako yafike, unapata muda wa kupumzika na kuchati na washkaji.
Behind the Camera, dada mwenye top ya pupple ni assistant production manager Catherine Allan, Production manager Edger Mahirane (pull over jeusi), Director of Directors Issa Athumani (shati la drafti) , Mpiga picha machachari Imma Kiwelu (aliyesimama na kamera), Ochieng Gad Ogwen akisaidia upande wa Kamera pia

  Neema, Silas, Mwakoba na Emiliana wakiwa katika scene yenye mvuto wa pekee kama wafanyakazi wa kazi za usafi katika Campus ya SJMC, uhondo wa Soap Opera hii utapatikana Mlimani TV.

  Ha ha ha ha ha mda mwingine ubunifu ni muhimu ili kupata uhalisia wa picha husika.

Hapa tutapata shot nzuri kamera itaweza kuchukua matukio kwa uzuri! 
 Hamadi aka Samson, Deus kama PM msaidizi, Catherine Allan PM msaidizi pia na Hawa as assistant Director wakifuatilia kwa makini upigaji wa picha za episode 1

   Kazi inaendelea na majadiliano yamepamba moto miongoni mwa wahusika.

  I real like this shot!  Inajenga hali Fulani katika nafsi….

Kazi inaendelea

Director msaidizi Miss Hawa akifuatilia mchakato mzima kwa umakini.
 Mr Director Issa Athumani akikagua Kamera kuhakikisha kila kitu kinaenda sawia.

Kujadili maendeleo ya kazi ni mojawapo ya sehemu ya kazi ili kupata mawazo mbalimbali

Ochieng Gad Ogweno mpiga picha wa Mlimani ni TV akiendelea kuchukua picha 

 Taa hutumika hata mchana kuua vivuli visivyotakiwa katika upigaji wa picha nzuri zenye mvuto kwa mtazamaji.

Kazi na dawa Mr director Issa Athumani twatarajia vitu vizuri.
Atukuzwe na Glory mojawapo ya wahusika wakuu katika mojawapo ya scene zitakazoonekana katika episode ya kwanza

 Moreen Swai aka Zawadi mhusika  mkuu wa My Campus , Edger Mahirane Production Manager na Shumu Mwaita wakitokelezea baada ya kazi nzito.

Upigaji picha ukiendelea ili kuhakikisha episode ya kwanza inakamilika

Hii ni mojawapo ya shot nzuri sana itakayonekana ndani ya My Campus, keep in Touch!

Brothermen Abdul Ibrahim aka Abdullah akifanya vitu vyake..
Kazi ikiendelea kufanywa kwa ufanisi mkubwa na ushirikiano wa dhati baina ya Production Timu na wahusika.

My Campus! My Campus! Twakusubiri kwa hamu

     Glory Swai akiwa makini na scene yake the girl is doing great.. Mambo mazuri zaidi yanatarajiwa kupitia Tamthiliya ya My Campus